MATAMA BHULULA NA AK. MAN wasanii maarufu wa nyimbo za asili watakuwa na show kubwa katika kijiji cha ISENI ISAKA nyehunge ambapo mashabiki wao watapata fursa ya kuhudhuria show hiyo itakayofanyika katika viwanja vya mprira hivi leo kuanzia saa 6:00 mchana. nyote mnakaribishwa