Sunday, December 7, 2014


KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno

KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno
  • KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno 1
  • KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno 2
Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la  LULU ni moja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi picha zao, stori  na ujumbe mambali mabali yani kwa kifupi wanazitendea haki kurasa zao..Kwa hilo tunakupongeza.

Back to the Topic
Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa  wake watoe comments na like za kutosha kutokana na kile ambacho wengi walidai kuwa picha hiyo ni NOUMA. Comment za   vidume wengi walionyesha  kupagawa na urembo wa mwanadada huyu na kuishiakumsifia hadi kupitiliza ili mradi kila mmoja akitoa lake la moyoni. Vile vile wadada pia hawa kuwa nyuma kutoa comments zao za kumsifia jinsi alivyo SHINE na kuwa TAG ma best zao kama kawaida. Bila kuwa sahau wapondaji wachache….

Picha Yenyewe
 kama unavyoina hapo juu, Nimwanadada Lulu amevalia Ki-sketi kifupi cha kitenge chenye maua maua   ambacho  kimemuacha wazi sehemu yote na miguu na pagaja kwa kiasi Fulani huku juu ametupia ki –t-shirt  cha rangi nyekundu ambacho kinamandishi meusi, kiki muacha wasi sehemu ja juu kidogo ya kiuno na hivyo kuonyesha tatoo yake iliyopo juu kidogo ya kiuno upange wa upavuni kuoneena…

Tatoo za Lulu
Mara nyingi tatoo ile ya juu mgongoni na ile ya juu kifuni ndio huwa zinaonekana mari nyingi kwenye picha zake kama unavyoziona kwenye picha za hapo chini….Lakini hii  ubavuni ni NADRA SANAAA……

No comments :

Post a Comment