
Maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika yanafanyika hivisasa katika uwanja wa uhuru jijini Dares salaam.

Jukwaa kuu ambapo viongozi mbalimbali wanaingia katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhur wa Tanganyka.

Maelfu ya wanachi wajitokeza katika maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika leo jijini Dares salaam.
Maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika yanafanyika hivi sasa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Katika maadhimisho hayo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete.
Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ingia katika historia ya nchi yetu jitokeze kuipigia kura Katiba inayopendekezwa”.
Mtandao wa Hivisasa utaendelea kukujulisha kila kinachojiiri katika maadhimisho hayo.
No comments :
Post a Comment