Johari aliandika maneno haya;
"Ujio mpya wa johari nikiwa mjasiriamali nauza ndizi dayana, we saka… mi nasaka pesa. heshima ya mtu pesa baby baby makelele".Johari ni moja kati ya waigizaji wakike wenye uwezo na uzoefu mkubwa zaidi kwenye tasnia hii ya filamu na hivyo kujijengea heshma miongoni mwawaigizaji wakongwe na hata wapya huku mashabiki wake wengi wakiendelea kumuunga mkono kwa kazi zake nzuri zenye ubora.
Mashabiki wengi walionyesha kuisubiri kwa hamu kaizi hii mpya, kwani ni kitambo sasa tangu Johari atoe mzigo mpya.
No comments :
Post a Comment