Saturday, December 6, 2014

KUNA KITU KIZURI KINAKUJA KUTOKA KWA WASANII HAWA….

10689915_812749762111184_2640958722252246287_n
Kuna kitu kizuri kinakuja kutoka kwa hawa wasanii wetu wa Bongo Fleva, kitu hicho bado kimekuwa kama kigugumizi kwa kutojua ni video mpya au ni picha tu wameamua kupiga wakiwa huko Johannesburg South Africa au laa. Mashabiki kaeni mkao wa kula nadhani kuna mambo mazuri hapa, hebu tusubiri.

No comments :

Post a Comment